Rahisisha uendeshaji wa biashara yako
Dukafy ni mfumo wa mauzo (POS), bidhaa, wateja, na ripoti — umeundwa kwa biashara ndogo na zinazokua.
Dukafy ni zaidi ya POS
Dukafy imeundwa kusaidia biashara ndogo na zinazokua kusimamia mauzo, bidhaa, na ripoti kwa urahisi — ili upate muda wa kuendesha biashara yako, sio kuhesabu makaratasi.
Urahisi wa matumizi
Muuzaji anaweza kuanza kuuza ndani ya dakika chache bila mafunzo marefu.
Usahihi & udhibiti
Stock, bei, na mauzo vinafuatiliwa ili upunguze upotevu na makosa.
Ripoti kwa maamuzi
Angalia mauzo ya leo, faida, bidhaa chache, na bidhaa zinazouzwa sana.
Kila biashara iwe na mfumo unaoeleweka
Lengo letu ni kufanya usimamizi wa biashara kuwa rahisi: mauzo, bidhaa, wateja, na ripoti zote ziwe sehemu moja.
Tunakusaidia kupunguza makosa ya kuandika, kufuatilia stock kwa usahihi, na kufanya maamuzi kwa kutumia takwimu.
Dukafy inakupa msingi wa kuendesha biashara kwa ufanisi:
Zana kamili za kusimamia biashara
Tunatoa mfumo unaounganisha mauzo, stock, wateja na ripoti — kwa muonekano wa kisasa unaoeleweka.
Article Categories
Maternal Health
Health guidance and self-care for mothers
Newborns (0-12 months)
Care tips and health information for newborn babies
Nutrition
Healthy eating recommendations for mothers and children
Planning Pregnancy
Guidelines for women planning to get pregnant
Pregnancy
Helpful advice and information for pregnant women
Preschoolers (3-6 years)
Health and education advice for preschool-aged children
Toddlers (1-3 years)
Child development and parenting tips for toddlers
Usimamizi wa Biashara
Mbinu bora za kuendesha na kusimamia biashara yako kila siku.
Mauzo na Masoko
Jinsi ya kupata wateja wapya na kuongeza mauzo ya bidhaa zako.
Usimamizi wa Stoo
Mbinu za kudhibiti mzigo (stock) na kuzuia upotevu.
Uhasibu na Fedha
Kuweka rekodi za fedha, faida, na matumizi ya biashara.
Huduma kwa Wateja
Jinsi ya kuhudumia wateja ili waendelee kurudi kwenye biashara yako.
Teknolojia na Biashara
Kutumia mifumo ya kidijitali kukuza biashara yako.
Biashara zinazoendeshwa kwa takwimu
Kuwa mfumo unaoaminika kwa wafanyabiashara wa Afrika ili kusimamia mauzo na stock kwa njia ya kisasa na rahisi.
Rahisi kutumia, salama, na yenye matokeo
Kutoa zana rahisi kwa mauzo, bidhaa, wateja, na ripoti — ili biashara ndogo zikue kwa ufanisi.
What guides everything we do
Simplicity
Kila kitu kiwe rahisi kuelewa na kutumia.
Uaminifu
Takwimu sahihi na mfumo unaoaminika kila siku.
Innovation
Teknolojia inayorahisisha usimamizi wa biashara.
Ukuaji
Kusaidia biashara kukua kwa kutumia ripoti na nidhamu ya stock.
Msaada
Tunaweka uzoefu wa mtumiaji mbele ili kazi iendelee bila stress.
Dukafy inasimama na biashara yako
Tumejikita kuhakikisha mauzo yako, stock, na ripoti vinakuwa wazi na vinapatikana kwa urahisi.
Unapata mfumo unaoeleweka kwa muuzaji na unaompa mmiliki picha halisi ya biashara.